loader image
KUTABARUKU
Tunachukua fursa hii kuwashukuru wote waliohusika katika kukusanya
na kuandaa kitabu hiki kinachohusu uangamizaji wa rangi yenye sumu ya
madini ya risasi (lead).
Shukrani za dhati ziliendee shirika la kimazingira la Global Environment
Facility kwa kutoa msaada wa kifedha. Tunashukuru pia shirika la UNEP
kwa ushauri na mwelekeo kwa ushirikiano na IPEN katika uandishi na
uchanganuzi wa nakala hii. Pia tunatambua juhudi nyingi za Mashirika
Yasiyokuwa ya Kiserikali (NGO) yanayoshirikiana na IPEN barani Afrika
na kote duniani katika kuangamiza rangi yenye sumu ya madini ya risasi.
Shukrani za kipekee ziwaendee wafanyakazi wa IPEN ambao kazi yao
ilifaulisha kukamilika kwa kitabu hiki.
  • cejad 01 2
  • cejad 02 2
  • cejad 03
  • cejad 04
  • cejad 05
  • cejad 06
  • cejad 07

Be notified when we post

Join the Cejad Community

Our Latest Tweets

Contact info

CEJAD 

The Centre for Environmental

Justice and Development, Kenya

P.O. Box 24464-00100 Nairobi,

Kenya.

(+254) 0720 465 500

info@cejadkenya.org

Our Offices

3rd Floor, Ngong Hills Hotel

Business centre,

Opposite Bishop Magua Centre,

Ngong Rd, Nairobi,

Kenya.

Copyright 2021 | All Rights Reserved 

Handcrafted with ♥ by Malinda Creatives